SiasaUjerumani yaidhinisha ndoa za jinsia moja01:39This browser does not support the video element.SiasaBruce Amani30.06.201730 Juni 2017Bunge la Ujerumani limepiga kura kuhalalisha ndoa za jinsia moja, Jeshi la Iraq limeshambulia ngome ya mwisho ya kundi la IS mjini Mosul na Ujerumani kupambana na Chile katika fainali ya Kombe la Mabara Jumapili nchini UrusiNakili kiunganishiMatangazo