SiasaUjerumaniUjerumani yakubali kuyatambua mauaji ya kimbari ya Namibia01:39This browser does not support the video element.SiasaUjerumaniMohammed Khelef28.05.202128 Mei 2021Hatimaye Ujerumani imetangaza kuyatambuwa mauaji ya kimbari wakati ikiitawala Namibia na kuahidi kutoa fidia yenye thamani ya euro bilioni moja kwa ajili ya miradi ya maendeleo katika taifa hilo la kusini magharibi mwa Afrika. Kurunzi 28.05.2021.Nakili kiunganishiMatangazo