AfyaUjerumani yatahadharisha kuhusu ongezeko la maambukizi ya corona kwa wasiochanjwa01:34This browser does not support the video element.Afya04.11.20214 Novemba 2021Waziri wa Afya wa Ujerumani Jens Spahn ametahadharisha kuhusu ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona hasa miongoni mwa watu ambao hawajapata chanjo. Waziri huyo ametaka hatua zaidi kuchukuliwa kuepusha maambukizi zaidi.Nakili kiunganishiMatangazo