JamiiUjerumani yatuma wanajeshi Ureno kusaidia kukabili COVID-1901:51This browser does not support the video element.JamiiSaleh Mwanamilongo04.02.20214 Februari 2021Wizara ya ulinzi ya Ujerumani imetuma maafisa wa afya na vifaa vya matibabu nchini Ureno, ambako vyumba vya wagonjwa mahututi vimelemewa baada ya kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya corona. Nakili kiunganishiMatangazo