1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujue mtaa wa mtanzania Lucy Lameck ulioko Berlin

04:03

This browser does not support the video element.

3 Desemba 2020

Mtaa huu wa Wissman ulikuwa ukimuenzi gavana wa kikoloni Hermann von Wissmann aliyeamuru mauaji huko Tanzania, Rwanda na Burundi. Sasa wanaharakati wanataka jina hilo libadilishwe. Hivi karibuni serikali ya jimbo la Berlin imeamua kubadilisha jina na kuuita mtaa wa Lucy Lameck, aliyekuwa kiongozi mwanamke mtanzania na mwanaharakati wa kupigania uhuru.#KurunziUjerumani

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW