1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukatili wa polisi Afrika Kusini wazusha mjadala

04:10

This browser does not support the video element.

4 Oktoba 2020

Ukatili wa polisi nchini Afrika Kusini ni suala linalomulikwa baada ya polisi kumuua kijana wa miaka 16. Katika taifa ambalo linakumbwa na machafuko, polisi wanatuhumiwa kuwaua watu 500 kila mwaka. Wengi wanatilia mashaka wajibu wa polisi wa kuwalinda raia.