Ukeketaji wa wanawake ni uvunjaji wa haki za binaadamu
30 Novemba 2011
Mila ya kuwakeketa wanawake inayofuatwa na baadhi ya jamii ulimwenguni inaelezwa kuwa ni aina moja ya udhalilishaji na uvunjaji wa haki za kibinaadamu za wanawake unaohatarisha pia maisha yao.
Matangazo
Salma Said anazungumzia mila ya ukeketaji wanawake katika makabila na imani tafauti za kidini, ingawa anahoji kwamba mila hiyo si sehemu ya dini yoyote ile ulimwenguni.