1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uko tayari kupigania haki za wengine kama kijana?

01:18

This browser does not support the video element.

30 Aprili 2019

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Uganda Robert Kyagulanyi au Bobi Wine kama anavyofahamika na wengi, ni sura ya upiganiaji wa haki za binadamu nchini humo na katika bara zima la Afrika. Lakini mambo hayajawa rahisi kwake.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW