1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUkraine

Ukraine yaamua kuendelea kuutetea mji wa Bakhmut

11 Machi 2023

Ukraine imeamua kuendeleza mapigano katika mji ulioharibiwa wa Bakhmut kwasababu mapigano hayo yanalemaza vikosi bora zaidi vya Urusi na kuvishusha hadhi kabla ya mashambulizi ya Ukraine yanayopangiwa msimu wa masika

Ukraine Krieg | Kämpfe um Bachmut
Picha: Marek M. Berezowski/AA/picture alliance

Matamshi ya msaidizi wa rais wa Ukraine Volodmy Zelensky, Mykhailo Podolyak, ni ishara ya hivi karibuni zaidi ya kugeuka kwa msimamo wa Ukraine wiki hii kuendelea kuutetea mji huo mdogo ulioko katika eneo lake la Mashariki, eneo ambalo limekuwa na mapigano mabaya zaidi katika vita hivyo wakati Urusi ikijaribu kupata ushindi wake wa kwanza mkubwa katika muda wa zaidi ya nusu mwaka.

 

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW