1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUkraine

Ukraine yatoa heshima kwa wanajeshi waliopoteza maisha

24 Februari 2023

Raia wa Ukraine wametoa heshima zao kwa wapendwa waliofariki kufuatia uvamizi wa Urusi, na kuapa kupigana hadi kupata ushindi.

Ukraine-Krieg Kiew | Soldaten bei Gedenkstunde ein Jahr Krieg
Picha: Ukrainian Presidency/AP/picture alliance

Katika hafla huko Kiev iliyovuta hisia, Rais Volodymyr Zelenskiy aliwatunuku nishani wanajeshi na mama wa mtoto mmoja aliyeuwawa na kusema kwamba hivi karibuni atatoa hotuba tofauti kwa kile alichokiita "muungano wa kimataifa dhidi ya Putin"

Waukraine wengi wameitumia siku hii kutafakari mustakabali wa taifa lao liliharibiwa vibaya na vita vya Urusi vilivyodumu mwaka mzima.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW