1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ulaya yakumbwa na wimbi la joto kali

01:54

This browser does not support the video element.

18 Julai 2022

Kwa mara nyingi mataifa ya Ulaya yanaandama na msimu wa kiangazi wenye joto lisilo na mfano. Huko Uingereza joto limepindukia nyuzi 42C wakati mataifa ya kusini mwa bara hilo yakipambana na moto wa nyika uliosababishwa na joto. Tizama video hiyo kuona wakaazi wa bara hilo wanavyohangaika kuepuka joto.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW