Mitandao ya kijamii ni muhimu katika ulimwengu wa sasa lakini wengi, wamejikuta wakiingia katika changamoto ikiwemo kuibiwa taarifa zao na nyuinginezo. Je vipi unaweza kulinda taarifa zako? Tazama video
Kurunzi ni video fupi ya DW Kiswahili inayomulika na kufafanua habari, matukio au masuala muhimu kwa lugha rahisi, picha zinazovutia na maelezo yanayomsaidia mtazamaji kuelewa kwa haraka.