JamiiUmauzi wa mahakama kumtia Derek Chauvin hatiani wapongezwa01:49This browser does not support the video element.Jamii21.04.202121 Aprili 2021Maelfu ya watu Marekani wamepongeza uamuzi wa majaji 12 ambao umemtia hatiani polisi wa zamani wa Minneapolis kuhusiana na kifo cha Mmarekani Mweusi George Floyd. Hata hivyo wanasema safari ya kutafuta haki kamili bado ni ndefu.Nakili kiunganishiMatangazo