1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umeme warejea visiwani Zanzibar

9 Machi 2010

<p>Baada ya Kisiwa cha Zanzibar huko Tanzania kubakia kutokuwa na umeme kwa karibu miezi mitatu, jana jioni umeme ulirejea, lakini sio katika sehemu zote za kisiwa hicho.

Kuna sehemu  kadhaa hadi sasa hazina umeme. Ukosefu wa  umeme Kisiwani humo uliziathiri shughuli za kibiashara, hasa za utalii katika kisiwa hicho, wacha tena za kijamaa.  Thelma Mwadzaya alizungumza na mwandishi wetu, Salma Said huko Unguja mjini,  na kumuuliza vipi Wazanzibari wamepokea habari za kurejea umeme....

Mtayarishaji: Thelma Mwadzaya Mhariri: Othman Miraji
Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi