1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umewahi kulishuhudia 'disco matanga?'

02:48

This browser does not support the video element.

22 Oktoba 2024

Katika tukio hili ni muziki na densi ili kuchangia fedha kwa ajili ya kukamilisha mazishi ya mtu aliekufa. Utaratibu huu umepigwa marufuku na mamlaka za ndani za Uganda na Kenya kwa kile wanachosema unachangia kueneza vitendo viovu lakini baadhi ya watu wanasema ni muhimu kuendeleza.

Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW