1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

UMOJA WA MATAIFA NY: Katibu mkuu wa UM Kofi Annan,...

16 Desemba 2003
amesema kwamba, rais wa zamani wa Iraq Saddam Hussein asipitishiwe adhabu ya kifo.Katibu huyo alitoa taarifa yake hiyo kwa maripota huko UM .Alikuwa akijibu taarifa iliotolewa na kiongozi wa sasa wa Baraza la utawala lililoteuliwa na Marekani nchini Iraq. Abdelaziz al Hakim, alisema jana kuwa saddam Hussein aweza kuhukumiwa mbele ya m ahkama maalumu itaskayoundwa na B araza hilo tawala na aweza kukabiliwa na adhabu ya kifo.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW