Umoja wa Ulaya kupunguza msaada wa jeshi BurundiElizabeth Shoo30.03.201630 Machi 2016Umoja wa Ulaya unatathmini kupunguza asilimia 20 ya msaada wake kwa wanajeshi wa Burundi katika kikosi cha AMISOM ili kuishinikiza serikali ya nchi hiyo ikubali kukaa kwenye meza ya majadiliano.Nakili kiunganishiPicha: AMISOMMatangazo[No title]This browser does not support the audio element.