Umoja wa Ulaya waingiwa na wasiwasi kuhusu hali ya kisiasa nchini Burundi
7 Agosti 2007
Umoja wa Ulaya unatiwa wasiwasi na hali ya kisiasa nchini Burundi kufuatia kukwama kwa mazungumzo kati ya serikali na kundi lililosalia la uasi nchini humo la FNL-Palipehutu.