Umoja wa Ulaya watarajiwa kutangaza mkakati wake katika mazungumzo kuhusu Brexit, Chama tawala Afrika Kusini, ANC chagawika baada ya Rais Jacob Zuma kumfuta kazi Waziri wa Fedha Pravin Gordhan, na Rais wa Korea Kusini aswekwa gerezani kuhusiana na ufisadi.