1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

UN: Mauaji bado yanaendelea Myanmar

01:06

This browser does not support the video element.

25 Oktoba 2018

Mwenyekiti wa Umoja wa Mataifa anayeongoza uchunguzi kuhusu ghasia za Myanmar, Marzuki Darusman amesema mauaji ya kimbari bado yanaendelea nchini humo dhidi ya Waislamu wa Rohingya na amelitaka suala hilo lipelekwe katika mahakama ya uhalifu wa kimataifa.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW