SiasaUN yaitaka Libya ifanye uchaguzi mapema00:54This browser does not support the video element.SiasaGrace Kabogo14.09.201814 Septemba 2018Baraza la Usalama la umoja wa Mataifa limekataa kuiidhinisha Desemba 10 kuwa tarehe ya uchaguzi, likitaka uchaguzi wa wabunge na urais ufanyike mapema iwezekanavyo, kutokana na kuimarika kwa usalama. Papo kwa Nakili kiunganishiMatangazo