Wajumbe wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa wanakutana leo na kesho pamoja na wawakilishi wa Umoja wa Afrika na NEPAD ili kutafuta njia za kuyasaidia mashirika haya ya Kiafrika.
Matangazo
Kauli mbio ya mkutno huu ni “Ujenzi mpya baada ya migogoro – juhudi za Umoja wa Mataifa katika Sudan ya Kusini, Burundi na Sierra Leone”. Kutoka Addis Abeba, Anaclet Rwegayura ametutumia ripoti ifuatayo.