Unajua maana ya shaghalabaghala na alfu-lela-u-lela?
29 Juni 2011Matangazo
Katika Baraza hili la Msamiati, Othman Miraji anazungumza na wataalamu wa lugha ya Kiswahili kuchambua maneno matano:
1. Shaghalabaghala
2. Ghusubu
3. Propaganda
4. Tanakali
5. Alfu-lela-u-lela
Mtayarishaji/Muongozaji: Othman Miraji
Washiriki/Wataalamu: Omar Babu (Chuo Kikuu cha Cologne), Sauda Barwani (Chuo Kikuu cha Hamburg), Profesa Said Ahmed Khamis (Chuo Kikuu cha Bayreuth) na Magdaline Wafula (Chuo Kikuu cha Eldoret, Kenya)