1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Zelensky ataka vikwazo zaidi kwa Urusi

3 Oktoba 2023

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametoa wito wa Urusi kuwekewa vikwazo vikali zaidi vya kiuchumi katika mkutano mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wa mjini Kiev.Akizungumza mjini Kiev,

EU Ukraine informelle Sitzung des Außenministerrates in Kiew
Picha: Ukrainian Presidential Press Service/REUTERS

Jioni ya Jumatatu amesema matukio ya mashambulizi mazito ya mabomu ya Urusi katika kipindi hiki, ni hakikisho tosha kuwa hatua zilizochukuliwa na Ulaya hazitoshi. Ameongeza kuwa hatua yoyote itakayoiwezesha Urusi kuongeza uzalishaji wake wa silaha lazima udhibitiwe.Tangu uvamizi wa Urusi kwa Ukraine mnamo Februari 2022, Umoja wa Ulaya umeidhinishwa awamu 11 za vikwazo, na vya hivi karibuni zaidi Juni iliyopita.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW