Upinzani DRC baada ya kifo cha Tshisekedi
3 Februari 2017Matangazo
Hii ni baada ya kuondoka kwa kinara huyo aliyekuwa pia msimamizi wa makubaliano ya mgogoro wa kisiasa kati ya upinzani na serikali. DW imezungumza na msemaji wa chama cha UDPS, Valentine Mubake, kuhusiana na mustakabali wa chama chao baada ya kifo cha Tshisekedi.