1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upinzani Kenya kususia uchaguzi mkuu?

3 Mei 2017

Muungano mkuu wa upinzani nchini Kenya NASA umetishia kususia uchaguzi mkuu iwapo maafisa wake hawataruhusiwa kutangaza matokeo ya urais katika vituo vya uchaguzi kwenye vituo vya kupigia kura.

Viongozi wa upinzani Kenya: Musalia Mudavadi, Raila Odinga, Isaac Ruto, Kalonzo Musyoka na Moses Wetangula  in Nairobi
Picha: Reuters/T. Mukoya

kenia nasa - MP3-Stereo

This browser does not support the audio element.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW