Upinzani Kenya wataka IEBC ivunjweElizabeth Shoo27.04.201627 Aprili 2016Watu wanne waliokuwa wagombea wa Urais katika uchaguzi mkuu uliopita wamejiunga na muungano wa upinzani CORD kuitaka Tume Huru ya Mipaka na Uchaguzi IEBC ivunjwe, wakiishutumu kuegemea upande mmoja.Nakili kiunganishiPicha: picture alliance/dpa/D. IrunguMatangazo[No title]This browser does not support the audio element.