Marekani yataka Korea Kaskazini ichukuliwe hatua kali. Kiongozi wa upinzani Kenya, Raila Odinga amesema hatoshiriki uchaguzi wa marudio wa Oktoba 17. Polisi nchini Rwanda wamkamata mkosoaji mkubwa wa Rais paul Kagame, Diana Rwigara. Papo kwa Papo 05.09.2017.