1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upinzani wapiga hatua Tanzania

Elizabeth Shoo28 Oktoba 2015

Kwa mara ya kwanza vyama vya upinzani nchini Tanzania vimefanikiwa kupata wabunge wengi katika uchaguzi, huku Chama cha Wananchi CUF kikipiga hatua kubwa tofauti na uchaguzi uliopita.

CUF Tanzania
Picha: DW/M. Khelef

[No title]

This browser does not support the audio element.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW