1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upungufu wa Vitamin A kwa watoto Tanzania

22 Julai 2014

Kiasi cha asilimia 35 ya watoto nchini Tanzania wanaripotiwa kuwa na upungufu wa Vitamin A, jambo linaloathiri maendeleo ya kiafya na ukuwaji na hivyo kusababisha mashaka wanapokuwa watu wazima.

Watoto nchini Tanzania ambako asilimia 35 kati yao wana upungufu wa Vitamin A.
Watoto nchini Tanzania ambako asilimia 35 kati yao wana upungufu wa Vitamin A.Picha: picture-alliance/dpa

Katika makala hii ya Afya Yako, Diana Kago anaangalia kile kinachofanywa na Wizara ya Afya ya Tanzania katika kulikabili tatizo hili la ukosaji wa vitamini kwa watoto wadogo. Kusikiliza tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mhariri: Mohammed Khelef

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi