1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uraibu wa mihadarati- Jinsi ya kuachana nao

05:33

This browser does not support the video element.

13 Machi 2024

Je ulijua kuwa heroini ni dawa ya kulevya ya tatu miongoni mwa mihadarati inayotumika zaidi kinyume cha sheria nchini Tanzania? Elizabeth alipambana dhidi ya uraibu wa heroini tangu alipokuwa na umri wa miaka 13. Kutana naye akiwa na daktari Chinonso Egemba kuangazia safari yake ngumu. Usikose hadithi hii ya ujasiri na matumaini.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW