MigogoroUlaya
Ukraine yasema kuwa tayari kwa makubaliano ya kumaliza vita
8 Aprili 2026
Matangazo
Aidha, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine Andriy Sybiha amesema makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Marekani na Iran yanaonyesha mafanikio ya "uamuzi" wa Marekani na kuitaka Washington isiupuuze mzozo wa Ukraine.
Hayo yakiripotiwa, Urusi na Ukraine zimeendelea kushambuliana usiku kucha, huku shambulizi la droni la Moscow likisababisha uharibifu mkubwa kwenye bandari ya mji wa Izmail iliyopo kwenye mto Danube kusini-magharibi mwa Ukraine.