1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MigogoroUkraine

Urusi yaishambulia Ukraine kwa droni na makombora

Saleh Mwanamilongo
31 Desemba 2024

Ukraine imesema kwamba Urusi ilivurumisha droni na makombora kote nchini mwake. Mamlaka zimekiri kwamba kulikuwa na mashambulio yaliyofanikiwa mashariki mwa nchi hiyo na karibu na mji mkuu, Kyiv.

Mamlaka  zimekiri kwamba kulikuwa na mashambulio yaliyofanikiwa mashariki mwa nchi hiyo na karibu na mji mkuu, Kyiv
Mamlaka  zimekiri kwamba kulikuwa na mashambulio yaliyofanikiwa mashariki mwa nchi hiyo na karibu na mji mkuu, KyivPicha: Valentyn Ogirenko/REUTERS

Ukraine imesema kwamba Urusi ilivurumisha droni na makombora kote nchini mwake. Mamlaka  zimekiri kwamba kulikuwa na mashambulio yaliyofanikiwa mashariki mwa nchi hiyo na karibu na mji mkuu, Kyiv. Hata hivyo, mamlaka hazikufafanua maeneo yaliyolengwa lakini gavana wa Kyiv alisema moja ya droni iliharibu nyumba na kumjeruhi mwanamke mmoja.

Kwa upande wake, Moscow ilisema vikosi vyake vilishambulia kwa droni na silaha za uhakika kwenye uwanja wa ndege wa kijeshi na kituo cha uzalishaji wa silaha, ikidai kuwa mashambulizi hayo yalifikia malengo yake.

Rais Vladimir Putin amesema katika hotuba ya Mwaka Mpya kwamba Urusi itasonga mbele kwa kujiamini katika 2025.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW