1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUkraine

Urusi yaishambulia Ukraine kwa nakombora na droni

17 Novemba 2024

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amesema Urusi imeshambulia nchi yake kwa makombora 140 na ndege 90 zisizo na rubani

Belgien Brüssel | EU Gipfeltreffen - Wolodymyr Selenskyj
Picha: Remko de Waal /ANP/IMAGO

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema Urusi imeshambulia nchi yake kwa makombora 120 na ndege 90 zisizo na rubani 90 leo Jumapili. Mashambulizi hayo makubwa yalilenga miundombinu ya nishati ya nchi hiyo.

Soma Pia: Zelensky aelezea kusikitishwa na mazungumzo ya Scholz, Putin 

Rais Zelensky amesema vikosi vya ulinzi vya Ukraine vilifaulu kuangusha makombora 140 ya angani lakini kuna uharibifu uliofanyika. Amesema katika mji wa Mykolaiv, mashambulizi ya ndege zisizo na rubani yamesababisha vifo vya watu wawili.

Watu wengine sita wamejeruhiwa, wakiwemo watoto wawili. Mkuu wa kijeshi wa jiji la Kiyv Serhii Popko amesema mashambulizi hayo mapya ya urusi ya ndege zisizo na rubani na makombora yalikuwa ni makubwa zaid katika kipindi cha matatu.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW