SiasaUkraine
Urusi yajiandaa kwa mashambulizi zaidi Ukraine
3 Januari 2023Matangazo
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amesema wana taarifa kwamba Urusi inaandaa mashambulizi zaidi wa kutumia ndege aina ya shahid na kuongeza kwamba nia ya Moscow ni kupunguza mashambulizi ya kujihami ya vikosi vya Ukraine katika uwanja wa mapambano ikiwa ni miezi takriban kumi baada ya uvamizi wa Urusi. Amesema vikosi hivyo vinajaribu kuharibu mfumo wao wa kujihami wa anga na miundombinu ya nishati.
katika kile kinachotajwa ni fedheha kwa vikosi vya urusi majeshi ni kuuwawa kwa wanajeshi 63, baada ya shambulio la Ukraine katika kituo kimoja huko Denesk.