SiasaBaada ya Korea Kaskazini, Urusi yasaini mkataba wa ushirikiano na Iran01:05This browser does not support the video element.Siasa17.01.202517 Januari 2025Rais wa Urusi Vladimir Putin na mwenzake wa Iran Masoud Pezeshkian wafanya mazungumzo kwenye Ikulu Kremlin Ijumaa kabla ya kusaini mkataba mpana wa ushirikiano ili kuimarisha ushirikiano wao huku kukiwa na vikwazo vikali vya nchi za Magharibi.Nakili kiunganishiMatangazo