1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MigogoroSyria

Urusi yashambulia ngome mbili za wanamgambo nchini Syria

7 Oktoba 2024

Jeshi la anga la Urusi limefanya mashambulizi katika ngome mbili za wanamgambo nchini Syria nje kidogo ya al-Tanf, ambayo ni kambi ya jeshi la Marekani.

Damaskus | Dana
Watu wamesimama karibu na gari lililoharibika kufuatia shambulio la bomu nje ya mji wa Sayeda Zeinab kusini mwa mji mkuu wa Syria Damascus, Syria.Picha: SANA/REUTERS

Jeshi la anga la Urusi limefanya mashambulizi katika ngome mbili za wanamgambo nchini Syria nje kidogo ya al-Tanf, ambayo ni kambi ya jeshi la Marekani.

Hayo ni kwa mujibu wa shirika la habari la Urusi RIA.

Soma pia: Mashambulizi ya Israel yaharibu barabara ya Lebanon-Syria 

Shirika hilo la habari likimnukuu kiongozi wa kituo cha Urusi cha maridhiano ya pande zinazohasimiana nchini Syria Oleg Ignasyuk, hata hivyo halikuweka wazi eneo kulikofanyika mashambulizi hayo japo limeeleza kuwa wanamgambo hao wameondoka eneo la al-Tanf linalopakana na Jordan.

 

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW