JamiiUsafiri wa Chukudu DRC12.11.201512 Novemba 2015Chukudu, skuta iliyo na uwezo wa kusafirisha mizigo ndio nguzo ya uchumi wa ndani Congo. Kutana na kijana Sebastian Pascal, fundi chukudu anayejikimu kimaisha kupitia kazi yake hiyo.Nakili kiunganishiPicha: Getty Images/AFP/J. D. KannahMatangazoUsafiri wa Chukudu DRC02:22This browser does not support the video element.