1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Magari na usafirishaji

Usafiri wa umma nchini Ujerumani

01:57

This browser does not support the video element.

24 Januari 2019

Nchini Ujerumani, kuna aina tofauti za usafiri wa umma. Kuna treni za kasi, treni za chini ya ardhi, mabasi na pia tram au treni za katikati ya mji. Ni usafiri unaowasaidia sana raia katika shughuli za kila siku. Grace Kabogo anakueleza mengi katika video ifuatayo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW