1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Usalama Lamu mashakani

4 Oktoba 2011

Polisi nchini Kenya wanaendelea na harakati za kujaribu kumtafuta mwanamke wa Kifaransa wa miaka 66, Marie Dedieu, aliyevamiwa nyumbani kwake kwenye kisiwa cha Manda kilichoko karibu na kisiwa cha Lamu.

Mvuvi kisiwani Lamu, Kenya
Mvuvi kisiwani Lamu, KenyaPicha: AP

Thelma Mwadzaya amezungumza na mwandishi wetu wa Mombasa, Eric Ponda, kuhusiana na hali ilivyo sasa kisiwani Lamu, ambako inasemekana baadhi ya watalii wameanza kuondoka.

Mahojíano: Thelma Mwadzaya/Eric Ponya

Mhariri: Othman Miraji 

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW