1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ushindi wa CDU na SPD Saxony na Brandenburg wagubikwa na wasiwasi wa AfD kuimarika

01:10

This browser does not support the video element.

2 Septemba 2019

Vyama vya CDU na SPD vimeshinda kwenye uchaguzi wa bunge katika majimbo ya Saxony na Brandenburg. Hata hivyo ushindi wao umegubikwa na wasiwasi kutokana na chama cha siasa kali za mrengo wa kulia AfD kujiimarisha na kushika nafasi ya pili.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW