SanaaAfrikaUshiriki wa wanawake katika filamu za kupigana01:51This browser does not support the video element.SanaaAfrikaSylvia Mwehozi05.07.20225 Julai 2022Agnes Kifaluka ni mwanamke wa kitanzania ambaye ni msanii wa filamu za kupigana. Ni nadra sana kwa wanawake kushiriki katika filamu za aina hizo. Lakini yeye ana ndoto kubwa za kufikia viwango vya kimataifa. #vijanamubashara Nakili kiunganishiMatangazo