Usman dan Fodio: Mwanzilishi wa Ukhalifa wa Sokoto
02:06
Historia
Yusra Buwayhid
11 Februari 2020
Alikuwa ni mwalimu wa dini ya Kiislam aliyegeuka kuwa mwanamapinduzi: Usman dan Fodio, alikosoa mfumo wa kisiasa wa eneo linalojulikana leo kama kaskazini mwa Nigeria na kuanzisha Ukhalifa wa Sokoto.