Utamaduni wa 'Cowboys' ulianzia Marekani. Hata hivyo ni utamaduni ambao bado unashuhudiwa katika maeneo mbalimbali ulimwenguni. Katika makala yetu ya Kurunzi Ujerumani, Harisson Mwilima anakupeleka kwenye kijiji kimoja nchini Ujerumani ambako utamaduni huo ungali unakuzwa. Tizama.