Utandawazi – Kipindi 1 – Kilimo cha Mkataba25.05.201125 Mei 2011Sikia juu ya wakulima wanaosaini mikataba na mashirika makubwa ya kimataifa. Tutasafiri kwenda Limbé na Tiko huko Cameroon, ambako hili ni jambo la kawaida na ambako sura ya nchi inabadilika.Nakili kiunganishiMatangazo