Utandawazi – Kipindi 2 – Biashara ya Haki25.05.201125 Mei 2011Kipindi hiki kinahusu kilimo cha kisasa na biashara ya haki. Burkina Faso ni nchi inayoongoza katika uzalishaji wa pamba barani Afrika. Huko Goumsin, chama kimoja cha ushirika kimeanza kutumia njia za kiasili.Nakili kiunganishiMatangazo