1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utandawazi – Kipindi 6 – Utalii

25 Mei 2011

Katika kipindi hiki kuhusu utalii, tunakwenda Senegal, kituo mashuhuri cha kitalii, hasa miongoni mwa wageni kutoka Ulaya. Utalii ni chanzo kikubwa cha mapato cha nchi hiyo yenye kilometa 450 ya fukwe za kitalii.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW