Utawala wa kijeshi wa Mauritania una haha kutaka kutambuliwa na Umoja wa Afrika
7 Oktoba 2008Matangazo
Hayo ni maoni ya wanadiplomasia wa mataifa ya Afrika walioko mjini Addis Ababa ambapo ujumbe wa utawala wa kijeshi nchini humo umefika kukutana na mwenyekiti wa tume ya AU, Jean Ping.
Zaidi ni kutoka kwa mwandishi wetu wa Addis Ababa, Anaclet Rwegayura.