Utulivu waanza kurejea Tana River
24 Desemba 2012Matangazo
Mapigano hayo yalitokea Ijumaa iliyopita, na yanafuatia mengine yaliyotokea mwezi Septemba mwaka huu. Kutoka katika eneo hilo Sudi Mnette wa DW amezungumza na mmoja kati ya waratibu wa shughuli za uokozi kutoka Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya, Hassan Musa.
Sikiliza mahojiano hayo hapo chini.