SiasaUtulivu warejea Gaza01:04This browser does not support the video element.SiasaIddi Ssessanga30.05.201830 Mei 2018Hali ya utulivu imerejea katika ukanda wa Gaza siku ya Jumatano, chini ya usitishaji mapigano ulioratibiwa na Misri, kufuatia uhasama mkubwa zaidi kati ya Israel na wapiganaji wa Kipalestina tangu vita vya mwaka 2014. Nakili kiunganishiMatangazo